Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.

      

Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.

  

Answers


KELVIN
Maghani ya kawaida hugusia maswala ya kawaida kama mapenzi, siasa, harusi, kazi, maombolezo n.k. na huganwa tu bila kusimuliwa ilhali maghani simulizi husimulia hadithi kuhusu tukio la kihistoria kuhusu mtu, tukio, kitu, mnyama, n.k.
kalvinspartan answered the question on October 24, 2017 at 14:52


Next: Kongozi ni nyimbo gani
Previous: Tambua sifa za vivugo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions