Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.

      

Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.

  

Answers


Winnie
Hutumbuiza watu katika hafla mbalimbali

Husahihisha maovu katika jamii

Huelimisha watu

Hukuza lugha husika

Huhifadhi utamaduni

Huendeleza uhai wa jamii fulani

Huwahamazisha watu katika jamii

AU

Taja umuhimu wa nyimbo?

Huhifadhi matukio muhimu ya historia.
Hutumiwa kama chombo cha kupitisha utamanduni.
Hutumiwa kama burudani ya kutumbuiza waimbaji na hadhira
Hutumiwa kuhamasisha watu kushiriki katika kutenda jambo Fulani.
Ni mmojawapo wa njia za kujipatia kipato.
Huelimisha na kuonya.
Wincate 1 answered the question on October 25, 2017 at 06:30


Next: State seven roles of judges in the history of Israel
Previous: Despite the numerous challenges faced by the woman,she can still overcome and succeed in life.Write a composition showing the truth of this statement in the...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions