Watu huimba katika hafla mbalimbali au mahali popote penye shughuli
Nyimbo nyingi huwa na ujumbe maalum ambao hujitokeza kwa njia za mafumbo au lugha fiche
Kila wimbo una wakati maalum wa kuimbwa, mahali na hata waimbaji wake
Kikundi cha watu chaweza kuimba au mtu mmoja kutegemea azma ya wimbo na muundo wake
AU
Huimbwa na mtu mmoja au kundi la watu.
Huandamana na ala za muziki kama ngoma.
Huimbwa na kuambatana n kucheza.
Huwa na maudhui maalum kutegemea muktadha na tukio.
Waimbaji wanaweza kujipamba na mavazi maalamu.
Huimbwa na kubadilika kutegemea majira ya mwaka.
Nyimbo hubeba ujumbe mzito.
Lugha teule ya kisanii hutumika.
Wincate 1 answered the question on October 25, 2017 at 06:36
- Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.(Solved)
Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.(Solved)
Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Taja aina zozote tano za nyimbo. (Solved)
Taja aina zozote tano za nyimbo.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Fafanua maana ya pembezi(Solved)
Fafanua maana ya pembezi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua sifa za vivugo(Solved)
Tambua sifa za vivugo
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.(Solved)
Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Kongozi ni nyimbo gani(Solved)
Kongozi ni nyimbo gani
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?(Solved)
Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Wawe ni nyimbo za zipi(Solved)
Wawe ni nyimbo za zipi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Nyimbo za chekechea zina umuhimu gani(Solved)
Nyimbo za chekechea zina umuhimu gani
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambau sifa za nyimbo za bembea(Solved)
Tambau sifa za nyimbo za bembea
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja sifa mbaya za nyimbo(Solved)
Taja sifa mbaya za nyimbo
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?(Solved)
Nyimbo kwa ujumla zina sifa zipi?
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi(Solved)
Taja vipera vikuu vya utanzu wa ushairi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Ushairi una dhima gani katika jamii(Solved)
Ushairi una dhima gani katika jamii
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambau sifa zinazotambulisha ushairi na tanzu zingine za fasihi simulizi(Solved)
Tambau sifa zinazotambulisha ushairi na tanzu zingine za fasihi simulizi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua umuhimu wa takriri za maana(Solved)
Tambua umuhimu wa takriri za maana
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha? (a) Pu/kacha (b)Pu, pu, pu (c)Pukupuku! (d)Pwa! (e)Pwata! (f)Tang’!(Solved)
Tanakali za sauti zifuatazo hutokea wapi ama nini kinachosababisha?
a) Pu/kacha
b)Pu, pu, pu
c)Pukupuku!
d)Pwa!
e)Pwata!
f)Tang’!
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii(Solved)
Tambua umuhimu wa shirikina katika jamii
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya shirikina(Solved)
Eleza maana ya shirikina
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)