Eleza maana ya miviga

      

Eleza maana ya miviga

  

Answers


Janet
Miviga ni sherehe mbalimbali katika jamii fulani. Huandamana na tamaduni za jamii husika. miviga huhusisha sherehe kama vile ndoa, mazishi na tohara
mwendwamutindi answered the question on November 7, 2017 at 07:13


Next: Factors that influence location of business enterprise
Previous: Explain how impurities lower surface tension force

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions