Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake

      

Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake

  

Answers


Magige
Ni nyimbo za kutoa mawaidha

1.Tenzi huburudisha
2.Tenzi husawiri tamaduni za jamii Fulani
3.Tenzi hutumika kutunza itikadi za jamii
4.Tenzi hutumika kukuza lugha
Magigeb answered the question on March 2, 2018 at 18:01


Next: What do you think third world countries like Kenya should do to advance and develop to a world class country?
Previous: What are the forms of the non-verbal communication and their influences?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions