Usanifishaji wa lugha ni nini?

      

Usanifishaji wa lugha ni nini?

  

Answers


mwangi
usanifishaji wa lugha ni ule utaratibu wa kuyatoa makosa yaliyo katika lugha fulani na kuiundia lugha hiyo msamiati kamili unaotosheleza mahitaji yake yote bila ya kutegemea ukopaji wa maneno.
isamaish answered the question on November 15, 2017 at 10:42


Next: You have been invited for a job interview. What would you need to do before and during the interview to ensure success
Previous: Explain what angel Gabriel revealed about John the Baptist when he announced his Birth to Zachariah

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions