Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :1. Nomino 2. Kitenzi 3. Kiwakilishi 4. Kielezi

      

Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :
1. Nomino
2. Kitenzi
3. Kiwakilishi
4. Kielezi

  

Answers


Peter
1. Nomino jibu: nauni au jina.
2. Kitenzi jibu:kiarifa.
3. Kiwakilishi jibu:kibadala au pronauni
4. Kielezi jibu: kisifa
pitawanyeki answered the question on November 16, 2017 at 16:08


Next: Give three symptoms of nitrogen deficiency in a growing maize crop.
Previous: State four factors that can make a farmer choose a jembe for primary cultivation

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions