Zikanushe sentensi zifuatazo :1. Ng'ombe anayekunywa maji atachinjwa. 2. Babu anakula muwa.

      

1. Vitenzi vyenye -o-rejeshi huwa havikanushwi.
2. Ukanusho wa kitenzi cha silabi moja.

  

Answers


Peter
1. Ng'ombe anayekunywa maji hatachinjwa.
2. Babu hali muwa.
pitawanyeki answered the question on November 16, 2017 at 17:11


Next: State any four advantages of using an electronic spreadsheets
Previous: Give the vegetative materials that should be used in establishment of the following crops i. Bananas ii. Sisal iii. Pyrethrum

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions