Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Umuhimu Wa Matuko Weye:
1. Ni kielelezo cha dhuluma walizopitia na wanazopitia waliopigania uhuru. Ni kinaya kuwa japo alihusika katika ukombozi, zawadi yake ni umaskini na wehu. Waliokula matunda ya uhuru hawakuchoka.
2. Kupitia kwake tunatambua changamoto za wakombozi. Hawana uhuru wa kujieleza, wanafungwa seli duni bila makosa na kuachiliwa hata bila kupelekwa kortini.
3.Ametumika kuwadhihaki wanatomoko. Japo ni mwehu anaelewa sokomoko haiongozwi vyema na tofauti na wananchi wenye akili razini, hanyamazi.
MTEMI NASABA BORA
1. kielelezo cha ukoloni mambo-leo ambapo mabwana weusi walinyakua uongozi na kuwadhulumu waafrika wenzao huku wakiua ndoto ya uhuru halisi
2. Kielelezo cha uozo unaoendelezwa na viongozi wa kiafrika. Ukware, ufisadi, udikteta Ubabe-dume n.k. Ndio maana kwake kumejaa uchafu - jazanda ya uozo
3. Kielelezo cha hatima ya viongozi dhalimu. Uongozi wa kiimla hauna budi kufika mwisho.
LOWELA
1. Kielelezo cha changamoto za elimu ya msichana. Mapenzi baina ya Wanafunzi na wazee Unaosababisha mimba za mapema na kuacha Shule.
2. Kielelezo cha uozo unaoendelezwa na vijana katika harakati za kutafuta raha na anasa kama vile kutupa Mtoto asiye na hatia
ESTHER STEVE answered the question on December 12, 2017 at 19:30
- Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara(Solved)
Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara
Date posted: November 17, 2017. Answers (1)
- Zikanushe sentensi zifuatazo :1. Ng'ombe anayekunywa maji atachinjwa. 2. Babu anakula muwa. (Solved)
1. Vitenzi vyenye -o-rejeshi huwa havikanushwi.
2. Ukanusho wa kitenzi cha silabi moja.
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :1. Nomino 2. Kitenzi 3. Kiwakilishi 4. Kielezi(Solved)
Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :
1. Nomino
2. Kitenzi
3. Kiwakilishi
4. Kielezi
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Toa visawe vya aina hizi za maneno.1. Nomino. 2. Kitenzi. 3. kiwakilishi. 4. kielezi.(Solved)
Toa visawe vya aina hizi za maneno.
1. Nomino.
2. Kitenzi.
3. kiwakilishi.
4. kielezi.
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Toa aina tatu za vitanza ndimi(Solved)
Toa aina tatu za vitanza ndimi
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Usanifishaji wa lugha ni nini?(Solved)
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Jadili mikondo hewa yoyote mitatu inayotumika katika utamkaji wa sauti za binadamu(Solved)
Jadili mikondo hewa yoyote mitatu inayotumika katika utamkaji wa sauti za binadamu
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake(Solved)
Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake
Date posted: November 9, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya miviga(Solved)
Eleza maana ya miviga
Date posted: November 3, 2017. Answers (1)
- Sifa za ngano za mashujaa(Solved)
Sifa za ngano za mashujaa
Date posted: November 3, 2017. Answers (1)
- Bainisha muundo wa silabi katika neno:Gongwa(Solved)
Bainisha muundo wa silabi katika neno:Gongwa
Date posted: October 27, 2017. Answers (1)
- Eleza sifa zozote nne za nyimbo.(Solved)
Eleza sifa zozote nne za nyimbo.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.(Solved)
Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.(Solved)
Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Taja aina zozote tano za nyimbo. (Solved)
Taja aina zozote tano za nyimbo.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Fafanua maana ya pembezi(Solved)
Fafanua maana ya pembezi
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Tambua sifa za vivugo(Solved)
Tambua sifa za vivugo
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.(Solved)
Fafanua tofauti kati ya maghani ya kawaida na maghani simulizi.
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Kongozi ni nyimbo gani(Solved)
Kongozi ni nyimbo gani
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)
- Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?(Solved)
Kimai ni nyimbo zinaimbwa wakati wa uvuvi. Nyimbo hizi zina umuhimu gani?
Date posted: October 24, 2017. Answers (1)