Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii. Huyu amekuja kutuliza.

      

Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii.
Huyu amekuja kutuliza.

  

Answers


john
i) Amekuja kuleta amani
ii) Amekuja kutufanya tulie
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:28


Next: Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo (i) Kivumishi cha kusisitiza
Previous: Bainisha viwakilishi katika sentensi hii. Aliwaletea kalamu tatu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions