Bainisha viwakilishi katika sentensi hii. Aliwaletea kalamu tatu.

      

Bainisha viwakilishi katika sentensi hii.
Aliwaletea kalamu tatu.

  

Answers


john
A- Kiwakilishi cha nafsi ya tatu umoja
Li- Kiwakilishi cha wakati uliopita
Wa- kiwakilishi cha kitendewa.
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:31


Next: Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii. Huyu amekuja kutuliza.
Previous: Isahihishe sentensi hii. Nilioyaona sitawai sahau maishani mwangu.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions