Sahihisha; Niliyo-yo yaona sitawahi-hi ku yasahau-ku
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:35
- Bainisha viwakilishi katika sentensi hii. Aliwaletea kalamu tatu.(Solved)
Bainisha viwakilishi katika sentensi hii.
Aliwaletea kalamu tatu.
Date posted: November 20, 2017. Answers (1)
- Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii. Huyu amekuja kutuliza.(Solved)
Eleza maana mbili zinazopatikana katika sentensi hii.
Huyu amekuja kutuliza.
Date posted: November 20, 2017. Answers (1)
- Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo (i) Kivumishi cha kusisitiza(Solved)
Tunga sentensi kwa kutumia vivumishi vifuatavyo.
(i) Kivumishi cha kusisitiza
Date posted: November 20, 2017. Answers (1)
- Ainisha viambishi katika sentensi hii. Mlipewa(Solved)
Ainisha viambishi katika sentensi hii.
Mlipewa
Date posted: November 20, 2017. Answers (1)
- Tumia viambishi viwili kama vielezi vya mahali katika sentensi.(Solved)
Tumia viambishi viwili kama vielezi vya mahali katika sentensi.
Date posted: November 20, 2017. Answers (1)
- Huku ukizingatia riwaya ya kidagaa kimemwozea na ken walibora eleza umuhimu wa wahusika wafuatao Matuko Weye, Mtemi Nasaba Bora, Lowela(Solved)
Huku ukizingatia riwaya ya kidagaa kimemwozea na ken walibora eleza umuhimu wa wahusika wafuatao Matuko Weye, Mtemi Nasaba Bora, Lowela
Date posted: November 17, 2017. Answers (1)
- Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara(Solved)
Eleza fani zifuatazo za maghani:
1.Vivigo
2.Tondozi
3.Pembezi
4.Rara
Date posted: November 17, 2017. Answers (1)
- Zikanushe sentensi zifuatazo :1. Ng'ombe anayekunywa maji atachinjwa. 2. Babu anakula muwa. (Solved)
1. Vitenzi vyenye -o-rejeshi huwa havikanushwi.
2. Ukanusho wa kitenzi cha silabi moja.
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :1. Nomino 2. Kitenzi 3. Kiwakilishi 4. Kielezi(Solved)
Andika visawe vya aina za maneno yafuatayo :
1. Nomino
2. Kitenzi
3. Kiwakilishi
4. Kielezi
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Toa visawe vya aina hizi za maneno.1. Nomino. 2. Kitenzi. 3. kiwakilishi. 4. kielezi.(Solved)
Toa visawe vya aina hizi za maneno.
1. Nomino.
2. Kitenzi.
3. kiwakilishi.
4. kielezi.
Date posted: November 16, 2017. Answers (1)
- Toa aina tatu za vitanza ndimi(Solved)
Toa aina tatu za vitanza ndimi
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Usanifishaji wa lugha ni nini?(Solved)
Usanifishaji wa lugha ni nini?
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Jadili mikondo hewa yoyote mitatu inayotumika katika utamkaji wa sauti za binadamu(Solved)
Jadili mikondo hewa yoyote mitatu inayotumika katika utamkaji wa sauti za binadamu
Date posted: November 13, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake(Solved)
Eleza maana ya Tenzi kisha utoe umuhimu wake
Date posted: November 9, 2017. Answers (1)
- Eleza maana ya miviga(Solved)
Eleza maana ya miviga
Date posted: November 3, 2017. Answers (1)
- Sifa za ngano za mashujaa(Solved)
Sifa za ngano za mashujaa
Date posted: November 3, 2017. Answers (1)
- Bainisha muundo wa silabi katika neno:Gongwa(Solved)
Bainisha muundo wa silabi katika neno:Gongwa
Date posted: October 27, 2017. Answers (1)
- Eleza sifa zozote nne za nyimbo.(Solved)
Eleza sifa zozote nne za nyimbo.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.(Solved)
Eleza umuhimu wa nyimbo katika jamii.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)
- Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.(Solved)
Eleza namna unavyoweza kutambua ngomezi.
Date posted: October 25, 2017. Answers (1)