Andika katika usemi halisi Waziri alisema kuwa wangepata tiba ya bure kama bunge lingepitisha msuada huo.

Andika katika usemi halisi Waziri alisema kuwa wangepata tiba ya bure kama bunge lingepitisha msuada huo.

Answers

john
Usemi halisi
“Tutapata tiba ya bure ikiwa bunge litapitisha msuada huu’’ Waziri alisema
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:39

Next: Isahihishe sentensi hii. Nilioyaona sitawai sahau maishani mwangu.
Previous: Bainisha vitenzi katika sentensi hii. Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions