Bainisha vitenzi katika sentensi hii. Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.

      

Bainisha vitenzi katika sentensi hii.
Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.

  

Answers


john
Vitenzi:
Ndiye – kitenzi kishirikishi kipungufu
Aliyekuwa- kitenzi kisaidizi
Akiiba – kitenzi kikuu
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:40


Next: Andika katika usemi halisi Waziri alisema kuwa wangepata tiba ya bure kama bunge lingepitisha msuada huo.
Previous: Akifisha kifungu hiki. Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions