Akifisha kifungu hiki. Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.

      

Akifisha kifungu hiki.
Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.

  

Answers


john
Uakifishaji :
Wa nyama hawa: kiboko, ndovu ( tembo), ngiri na ngawa ; wanyama wa pori, wote hupatikana katika mbuga ya Masai Mara
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:43


Next: Bainisha vitenzi katika sentensi hii. Juma ndiye aliyekuwa akiiba mifugo wa jirani.
Previous: Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions