Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’

      

Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’

  

Answers


john
Sentensi.
Kijinga cha moto kilipomchoma alirukaruka kijinga.
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:44


Next: Akifisha kifungu hiki. Wanyama hawa kiboko ndovu tembo ngiri na ngawa wanyama wa pori wote hupatikana katika mbuga ya maasai mara.
Previous: Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions