Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.

Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.

Answers

john
Kuchanganya ndimi ni kule kutumia neno la lugha tofauti katika sentensi ya lugha nyingine kwa mfano Nitaenda town kesho kununua phone.
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:46

Next: Tunga sentensi moja itakayodhihirisha maana mbili za neno ‘kijinga’
Previous: Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index

Exams With Marking Schemes

Related Questions