Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.

      

Eleza sababu tano za kuchanganya na kubadili ndimi/msimbo.

  

Answers


john
i) Kupungukiwa na msamiati
ii)Kujitambulisha na kundi fulani la watu .
iii) Kujihusisha na lugha yenye hadhi.
iv) Kukengeuka –kutaka kujionyesa kuwa hata wewe unajua.
v) Kutaka kuonyesa kuwa una uwezo wa kutumia lugha zaidi ya moja.
vi) Kutaka kuweka wazi jambo fulani.
john3 answered the question on November 20, 2017 at 12:49


Next: Huku ukitoa mifano halisia eleza tofauti iliyopo kati ya kuchanganya ndimi/ msimbo na kubadili ndimi/msimbo.
Previous: The diagram below shows a pyramid of numbers

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions