Sahihisha sentensi : Mama mwenye alikufa amezikwa katika kaburini.

      

Sahihisha sentensi :
Mama mwenye alikufa amezikwa katika kaburini.

  

Answers


john
Mama ambaye alikufa amezikwa kaburini au Mama aliyekufa amezikwa katika kaburi.
john3 answered the question on November 20, 2017 at 18:01


Next: Tofautisha maana ya sentensi zifuatazo: Chakula chote kitaharibika. Chakula chochote kitaharibika.
Previous: Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo: Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions