Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo: Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.

      

Bainisha virai nomino, virai vivumishi, na virai vielezi katika sentensi ifuatayo:
Yule mwalimu mwenye ndevu amewasili ukumbini sasa hivi.

  

Answers


john
Yule mwalimu
- virai nomino
Mwenye ndevu - virai vivumishi
Sasa hivi
- virai vielezi (3 x 1 = 3)
john3 answered the question on November 20, 2017 at 18:03


Next: Sahihisha sentensi : Mama mwenye alikufa amezikwa katika kaburini.
Previous: Akifishe sentensi ifuatayo:Io amekimbia

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions