Eleza mtindo unaotumiwa kuainisha ngeli kisha utoe mifano miwili

      

Eleza mtindo unaotumiwa kuainisha ngeli kisha utoe mifano miwili.

  

Answers


Peter
Mtindo uliopendekezwa ni ule wa kisintaksia-mwingiliano wa maneno ya kiswahili.

mifano:
1.Mtoto a-naongea(a).
Watoto wanaongea(wa) A-WA.
2.Unywele u-medirwa(u).
Nywele zi-medirwa(zi) U-ZI.
pitawanyeki answered the question on November 24, 2017 at 16:40


Next: State the conditions for interference of light to occur
Previous: List the four main divisions of the new testament

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions