Bainisha matumizi ya’ku’ katika sentensi hii. Kufaulu kwako kutakuletea heshima ikiwa hukudanganya katika mtihani huo.

      

Bainisha matumizi ya’ku’ katika sentensi hii.
Kufaulu kwako kutakuletea heshima ikiwa hukudanganya katika mtihani huo.

  

Answers


Lydia
Kufaulu- Hutumiwa mwanzoni mwa kitenzi nomino
Kutakuletea- Kiwakilishi cha nafsi ya pili umoja
Hukudanganya-Kiambishi cha wakati uliopita katika hali ya kukanusha
lydiajane74 answered the question on November 25, 2017 at 00:23


Next:  Define the term dissolution and give circumstances under which a sole proprietorship may be dissolved.
Previous: Toa mifano miwili miwili kwa sauti zifuatazo: (i) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo (ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions