Bainisha kielezi katika sentensi hii. Wageni hao waliwasili Julai mwaka jana.

      

Bainisha kielezi katika sentensi hii. Wageni hao waliwasili Julai mwaka jana.

  

Answers


Lydia
Kielezi ni julai mwaka jana
ii) Wanafunzi wameingia darasani humo
lydiajane74 answered the question on November 25, 2017 at 00:27


Next: Toa mifano miwili miwili kwa sauti zifuatazo: (i) Sauti ghuna ambazo ni vipasuo (ii) Si ghuna ambazo ni vikwamizo.
Previous: Unda vitenzi kutokana na nomino hizi. i) Hotuba ii) Tiba

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions