Mikakati inayotumiwa kukabiliana Na vikwazo vya mawasiliano katika lugha ya pili

      

Mikakati inayotumiwa kukabiliana Na vikwazo vya mawasiliano katika lugha ya pili

  

Answers


Magige
1.kuomba usaidizi waziwazi
2.Kuomba usaidizi kisirisiri
3.Kutafsiri moja kwa moja kwa mfano MTU anaposema nimeshiba na jibu badala ya nimeridhika na jibu
4.Utoaji wa mifano
5.Uelezaji
6.Ufafanuzi wa usemi
7.Kubuni Maneno mapya
8.Uigaji kimya
9.Uigaji wa sauti
10.Ujumuishaji mno.
Magigeb answered the question on March 2, 2018 at 17:51


Next: Describe the obstacles to education in the post colonial Africa
Previous: Explain what is meant by sociology of education.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions