Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo: Mama aliwapakulia watoto chakula kwa sahani

      

Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo:
Mama aliwapakulia watoto chakula kwa sahani

  

Answers


Bonface
Chakula-Shamirisho kipozi
Watoto-Shamirisho kitondo
Sahani-Ala
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 14:50


Next: What role does oxygen play in the process of germination?
Previous: Taja vipashio vinne vya lugha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions