Eleza muundo wa majina katika ngeli ya A-WA

      

Eleza muundo wa majina katika ngeli ya A-WA

  

Answers


Bonface
i)M-WA
Mfano; Mtoto-Watoto
ii)CH-VY
Mfano;Chura-Vyura
iii)M-MI
Mfano;Mtume-Mitume
iv)KI-VI
Mfano;Kiwete-Viwete
v)DA-MA
Mfano;Daktari-Madaktari
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 15:09


Next: What is tupping?
Previous: Ainisha mofimu katika neno aliyempenda

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions