Ainisha mofimu katika neno aliyempenda

      

Ainisha mofimu katika neno aliyempenda

  

Answers


Bonface
a-Nafsi ya kwanza umoja
li-wakati uliopita
ye- O-rejeshi
M-Mtendwa
pend-Mzizi
a-Kiishio
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 15:16


Next: Eleza muundo wa majina katika ngeli ya A-WA
Previous: Tofautisha kati ya irabu /e/ na /u/

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions