Tofautisha kati ya irabu /e/ na /u/

      

Tofautisha kati ya irabu /e/ na /u/

  

Answers


Bonface
/e/ ni irabu ya mbele juu na hutamkwa mdomo ukiwa umetandazwa
/u/-ni irabu ya nyuma juu na hutamkwa mdomo ukiwa umeviringishwa
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 15:23


Next: Ainisha mofimu katika neno aliyempenda
Previous: Eleza kaida zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions