Eleza kaida zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha

      

Eleza kaidi zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha

  

Answers


Bonface
Umri-Wazee hutumia lugha fiche na yenye busara ilhali vijana hutumia lugha yenye matusi

Jinsia-Wasichana hutumia lugha yenye upole ilhali wavulana hutumia lugha ya ukali.

Tabaka-Marajiri hutumia lugha tofauti na watu wenye pato la chini

Cheo-Watu wenye vyeo mbalimbali hutumia lugha ya uongozi tofauti na wale wanaoongozwa

Muktadha-Lugha inayitumiwa hospitalini ni tofauti na ile lugha ya shuleni.

Malezo-Mtoto ambaye amelelewa kwa lugha ya matisi akiwa mkubwa hutumia lugha yenye matusi

Lengo ya lugha-Lugha ya kutoa tahadhari ni tofauti na ile ya kuburudisha.


Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 15:33


Next: Tofautisha kati ya irabu /e/ na /u/
Previous: Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea: Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions