Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea: Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa

      

Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea:
Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa.

  

Answers


Bonface
Mwanafunzi atiaye bidii masomoni ndiye azawadiwaye.


Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 16:27


Next: Eleza kaida zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha
Previous: What were the causes of Maasai civil wars?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions