Andika katika usemi wa taarifa. 'Nitawatuza waliofanya vyema katika mtihani leo jioni.' Mwalimu aliwaahidi wanafunzi

      

Andika katika usemi wa taarifa.
'Nitawatuza waliofanya vyema katika mtihani leo jioni.' Mwalimu aliwaahidi wanafunzi.

  

Answers


Bonface
Mwalimu aliwaahidi wanafunzi kuwa angewatuza waliofanya vyema katika mtihani siku hiyo jioni
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:03


Next: Describe the parable of the Tenants (Luke 20:9 -18)
Previous: Explain what the Benedictus reveal about john the Baptist

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions