Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI

      

Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI

  

Answers


Bonface
i)U-ND
Mfano;Ulimi-Ndimi
ii)U-NY
Mfano;Uwanja-Nyanja
iii)U-MB
Ubao-Mbao
iv)U-FA
Mfano;Ufagio-fagio
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:07


Next: Explain what the Benedictus reveal about john the Baptist
Previous: Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za sentensi za kiswahili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions