Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za sentensi za kiswahili

      

Huku ukitoa mifano,eleza aina mbili za sentensi za kiswahili

  

Answers


Bonface
i)Sentensi sahili-ni sentensi yenye dhana moja kuu. Kwa mfano;Mtoto analia
ii)Sentensi ambatano; ni sentensi inayoundwa kwa sentensi sahili mbili zilizounganishwa kwa kiunganishi. Kwa mfano;Mama anapika ilhali watotao wanacheza
iii)sentensi changamano-ni sentensi yenye kishazi tegemezi na kishazi huru. Kwa mfano;Ng'ombe aliyenunuliwa jana ameuzwa leo.
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:13


Next: Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI
Previous: Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo. Mama amekufa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions