Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo. Mama amekufa

      

Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo.
Mama amekufa.

  

Answers


Bonface
i)Mama amekufa. (Kutoa taarifa)
ii)Mama amekufa!(kuonyesha mshangao)
iii)Mama amekufa?(kuuliza swali)
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:25


Next: Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za sentensi za kiswahili
Previous: What is the purpose of tendering and procurement in the county governments in Kenya?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions