Kwa kutoa mfano, fafanua maana ya kiimbo

      

Kwa kutoa mfano fafanua maana ya kiimbo

  

Answers


Bonface
? Jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea.
? Huibua maana halisi ya maneno yanayosemwa kama ifuatavyo:

? Sentensi za taarifa
? Mtoto anaandika barua.
? Sentensi za maswali
? Mtoto anaandika barua?
? Sentensi za mshangao
? Mtoto anaandika barua!
? Sentensi za amri
? Kachezeeni nje!
? Sentensi za rai/ombi
? Nisaidie/eni.
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:29


Next: What is the purpose of tendering and procurement in the county governments in Kenya?
Previous: Outline the factors to consider during allocation of national revenue in Kenya

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions