Taja sifa tatu za kuainisha irabu

      

Taja sifa tatu za kuainisha irabu

  

Answers


Bonface
i)Muinuko wa ulimi
ii)Muundo wa mdomo
iii)Sehemu ya kinywa ambapo ncha ya ulimi huwepo wakati wa kutamka
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:46


Next: Tia shadda katika neno barabara kuleta maana mbili tofauti
Previous: Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi (i)KIKI (ii)KIKKKI (iii)KKI (iv)KIKKIKI

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions