Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi (i)KIKI (ii)KIKKKI (iii)KKI (iv)KIKKIKI

      

Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi
i)KIKI
ii)KIKKKI
iii)KKI
iv)KIKKIKI

  

Answers


Bonface
i)Kiti
ii)jangwa
iii)Mtu
iv)Daktari
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:52


Next: Taja sifa tatu za kuainisha irabu
Previous: Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions