Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti

      

Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti.

  

Answers


Bonface
i)Mahali hewa huzuiliwa
ii)Jinsi hewa huzuiliwa
iii)Hali ya mtetemeki katika nyuzi sauti
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:54


Next: Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi (i)KIKI (ii)KIKKKI (iii)KKI (iv)KIKKIKI
Previous: Kanusha sentensi ifuatayo. Ningekuwa na pesa ningenunua gari

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions