Kanusha sentensi ifuatayo. Ningekuwa na pesa ningenunua gari

      

Kanusha sentensi ifuatayo.
Ningekuwa na pesa ningenunua gari.

  

Answers


Bonface
Nisingekuwa na pesa nisingenunua gari
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 18:57


Next: Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti
Previous: Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions