Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja

      

Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja.

  

Answers


Bonface
Nilipofika hospitalini nilimpata dakatari nilipomwacha.

Nilipofika- 'po' ya wakati
Nilipomwacha- 'po' ya mahali
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 19:02


Next: Kanusha sentensi ifuatayo. Ningekuwa na pesa ningenunua gari
Previous: Taja matumizi ya 'na' katika sentensi. Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions