Taja matumizi ya 'na' katika sentensi. Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.

      

Taja matumizi ya 'na' katika sentensi.
Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.

  

Answers


Bonface
Juma na Waweru- 'na' ya kiunganishi
Wanapigana- 'na' ya wakati uliopo
anasoma- 'na' ya wakati uliopo
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 19:11


Next: Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja
Previous: Toa maana mbili katika sentensi. Mama alimpigia mtoto mpira

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions