Toa maana mbili katika sentensi. Mama alimpigia mtoto mpira

      

Toa maana mbili katika sentensi.
Mama alimpigia mtoto mpira.

  

Answers


Bonface
i)Mama alipiga mpira kwa niaba ya mtoto.
ii)Mama alipiga mtoto kwa sababu ya mpira
Biokenya answered the question on December 7, 2017 at 19:32


Next: Taja matumizi ya 'na' katika sentensi. Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.
Previous:  The electrons are accelerated by a p.d. of 24000v in a given X-rays tube. Assuming all the energy goes to produce X-rays, determine the frequency...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions