Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii. Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha

      

Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii.
Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha

  

Answers


Bonface
Mgeni aliyekuja nyumbani jana-Kishazi tegemezi
Mgeni alikaribishwa kwa furaha-Kishazi huru
Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 05:18


Next: A bus takes 195 minutes to travel a distance of (2 x +30) km at an average speed of ( x-20) km/hr. calculate the actual...
Previous: Yakinisha sentensi hizi (i)Mgeni hatarudi kwetu leo (ii)Kitabu hakisomeki vizuri.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions