Yakinisha sentensi hizi (i)Mgeni hatarudi kwetu leo (ii)Kitabu hakisomeki vizuri.

      

Yakinisha sentensi hizi
i)Mgeni hatarudi kwetu leo
ii)Kitabu hakisomeki vizuri.

  

Answers


Bonface
i)Mgeni atarudi kwetu leo
ii)Kitabu kinasomeka vizuri
Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 05:20


Next: Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii. Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha
Previous: Geuza sentensi hii ikuwe katika hali isiodhihirika. Mama ameenda sokoni

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions