Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia mishale. Mwalimu anasahihisha vitabu ilhali wanafunzi wanasoma polepole

      

Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia mishale.
Mwalimu anasahihisha vitabu ilhali wanafunzi wanasoma polepole.

  

Answers


Bonface
S(Ambatano)

S----------->S1+S2
S1---------->KN+KT
KN---------->N
N------------>Mwalimu
KT----------->T+N
T------------>anasahihisha
N------------>Vitabu
U------------>ilhali
S2----------->KN + KT
KN----------->N
N------------>Wanafunzi
KT----------->T+E
T------------>wanasoma
E------------>polepole

Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 05:33


Next: Geuza sentensi hii ikuwe katika hali isiodhihirika. Mama ameenda sokoni
Previous: What are the differences between aridity and desertification?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions