Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
/m/,/n/,/ny/,/ng/
Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 15:43
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia mishale. Mwalimu anasahihisha vitabu ilhali wanafunzi wanasoma polepole(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia mishale.
Mwalimu anasahihisha vitabu ilhali wanafunzi wanasoma polepole.
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Geuza sentensi hii ikuwe katika hali isiodhihirika. Mama ameenda sokoni(Solved)
Geuza sentensi hii katika hali isiyodhihirika.
Mama ameenda sokoni
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Yakinisha sentensi hizi (i)Mgeni hatarudi kwetu leo (ii)Kitabu hakisomeki vizuri.(Solved)
Yakinisha sentensi hizi
i)Mgeni hatarudi kwetu leo
ii)Kitabu hakisomeki vizuri.
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii. Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha(Solved)
Tambulisha kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii.
Mgeni aliyekuja nyumbani jana alikaribishwa kwa furaha
Date posted: December 8, 2017. Answers (1)
- Toa maana mbili katika sentensi. Mama alimpigia mtoto mpira(Solved)
Toa maana mbili katika sentensi.
Mama alimpigia mtoto mpira.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Taja matumizi ya 'na' katika sentensi. Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.(Solved)
Taja matumizi ya 'na' katika sentensi.
Juma na Waweru wanapigana ilhali Nyenze anasoma.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja(Solved)
Eleza matumizi mawili ya 'po'kwa kutunga sentensi moja.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Kanusha sentensi ifuatayo. Ningekuwa na pesa ningenunua gari(Solved)
Kanusha sentensi ifuatayo.
Ningekuwa na pesa ningenunua gari.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti(Solved)
Taja sifa tatu bainifu za kuanisha konsonanti.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi (i)KIKI (ii)KIKKKI (iii)KKI (iv)KIKKIKI(Solved)
Taja maneno mawili yenye muundo zifuatazo za silabi
i)KIKI
ii)KIKKKI
iii)KKI
iv)KIKKIKI
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Taja sifa tatu za kuainisha irabu(Solved)
Taja sifa tatu za kuainisha irabu
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Tia shadda katika neno barabara kuleta maana mbili tofauti(Solved)
Tia shadda katika neno barabara kuleta maana mbili tofauti
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Taja matumizi matatu ya kiimbo(Solved)
Taja matumizi matatu ya kiimbo
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Kwa kutoa mfano, fafanua maana ya kiimbo(Solved)
Kwa kutoa mfano fafanua maana ya kiimbo
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo. Mama amekufa(Solved)
Tumia kiimbo kuleta maana tatu katika sentensi ifuatayo.
Mama amekufa.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Kwa kutoa mifano, eleza aina mbili za sentensi za kiswahili(Solved)
Huku ukitoa mifano,eleza aina mbili za sentensi za kiswahili
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI(Solved)
Eleza muundo wa majina katika ngeli ya U-ZI
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Andika katika usemi wa taarifa. 'Nitawatuza waliofanya vyema katika mtihani leo jioni.' Mwalimu aliwaahidi wanafunzi(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa.
'Nitawatuza waliofanya vyema katika mtihani leo jioni.' Mwalimu aliwaahidi wanafunzi.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea: Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa(Solved)
Tumia O-rejeshi kuleta hali ya mazoea:
Mwanafunzi ambaye alitia bidii masomoni ndiye ambaye alizawadiwa.
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)
- Eleza kaida zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha(Solved)
Eleza kaidi zozote tano zinazoathiri matumizi ya lugha
Date posted: December 7, 2017. Answers (1)