Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi

      

Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi.

  

Answers


Bonface
Mzizi huru ni ule unaojitosheleza kimaana. Kwa mfano mama,darasa
Mzizi tegemezi ni ule ambao haina maana kamilifu. Huambatanishwa kuleta maana kamili. Kwa mfano -pend, -pig.
Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 15:47


Next: Highlight five reason that leads to early marriages in Kenya.
Previous: "..Bei ni ya leo....bei ni ya leo,,,mbao mbao,mbao mbao.." (i)Taja sajili ya maneno haya (ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions