"..Bei ni ya leo....bei ni ya leo,,,mbao mbao,mbao mbao.." (i)Taja sajili ya maneno haya (ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja

      

"...Bei ni ya leo...bei ni ya leo...mbao mbao, mbao mbao.."
i)Taja sajili ya maneno haya
ii)Taja sifa za ligha za sajili uliotaja

  

Answers


Bonface
i)Sajili ya sokoni (Biashara)
ii)Matumizi ya msamiati maalum kwa mfano bei nafuu.
Matumizi ya lugha ya kuvutia
Lugha ya kutia chumvi kwa mfano
Matumizi ya lugha unaorudiwarudiwa.

Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 15:54


Next: Tofautisha kati ya mzizi huru na mzizi tegemezi
Previous: Outline the spore staining techniques

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions