Eleza matumizi ya kiambishi 'ki' kwa kutoa mifano

      

Eleza matumizi ya kiambishi 'ki' kwa kutoa mifano.

  

Answers


Bonface
i)Ki-ya masharti.
K.m. Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni
ii)ki-ya upatanisho wa kisarufi katika ngeli ya KI-VI
k.m Kitabu kile kinapendeza
iii) ki-ya kufananisha
K.m Mwanafunzi yule anaongea kitausi
iv) kuonyesha lugha mbalimbali
Km Waweru anafahamu lugha za Kiswahili na Kifaransa vizuri
v)Kuonyesha udogo
K.m kutoto kile kinalia
vi)Kuonyesha kuendelea kwa kitendo
K.m Nilipofika kwao, alikuwa akicheza.

Biokenya answered the question on December 8, 2017 at 16:05


Next: Outline the spore staining techniques
Previous: State four reasons for practicing crop rotation

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions