Fafanua athari za mutilinguo

      

Fafanua athari za mutilinguo

  

Answers


Bonface
-Ukopaji wa msamiati
-Kufa kwa lugha moja
-misimu kuzaliwa
-Kuchanganya misimbo
-Kuathirika kwa lugha na lugha ile nyingine kimatamshi
-Misimu kuzaliwa
-Kuboresha uwezo wa kuzungumza
Biokenya answered the question on December 9, 2017 at 14:09


Next: Andika mambo matano yanayosababisha mutilinguo
Previous: Tunga sentensi moja ukitumia -a- ya uhusiano kuonyesha umilikaji

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions